Cha ajabu, anaweza chagua asiye na mvuto....baada ya miezi kadhaa binti anabadilika, kaisha ng'aa,kijungu ndo hicho,vipozi na tabasamu za hapa na pale halafu msafiiiiiii....mtoto kesha jua mahala pa kwenda kusuka vizuri, vinguo anavaa vinamtoa vilivyo...! We acha tu....kuna mwanamke mbaya siku hizi??? mwishowe anaanza kufikiria kumtimua tena,