majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 586
Jamaa flani alikuwa amelala na
mkewe.Mara akamuona mtu
amesimama
kitandani.
Jamaa akafoka,"Toka hapa,we ni
nani mpaka unakuja kitandani
mwangu?" Yule
mtu akajibu,"Mi ni
malaika;mtakati fu petro,na hapa sio
kitandani mwako uko
mbinguni!"
Jamaa,"Huh! Inamaana
nimekufa,mbona
mi
bado kijana...naomba nirudishwe!"
Malaika,"Inawez ekana lakini siwezi
kukurudisha kama mtu labda urudi
kama
mbwa ama kuku."
Jamaa akakumbuka mbwa
wanavyopata
taabu ya kulinda,akaonel ea arudi
kama
kuku.
Malaika akamgeuza
kuku,akamwambia
ajifunze kutaga kabla hajapelekwa
duniani.
Akachuchumaa na kuanza
kujikamua;yai la
kwanza likatoka.akajik amua tena,yai
la pili
likatoka.Akajik amua tena mara ya
tatu.
Wakati yai la tatu linatoka...akas
htukia amepigwa konde ikifuatwa na
sauti ya
hasira ya mkewe,"Pumbavu! Balaa
gani
hii....unakunya kitandani!!"
mkewe.Mara akamuona mtu
amesimama
kitandani.
Jamaa akafoka,"Toka hapa,we ni
nani mpaka unakuja kitandani
mwangu?" Yule
mtu akajibu,"Mi ni
malaika;mtakati fu petro,na hapa sio
kitandani mwako uko
mbinguni!"
Jamaa,"Huh! Inamaana
nimekufa,mbona
mi
bado kijana...naomba nirudishwe!"
Malaika,"Inawez ekana lakini siwezi
kukurudisha kama mtu labda urudi
kama
mbwa ama kuku."
Jamaa akakumbuka mbwa
wanavyopata
taabu ya kulinda,akaonel ea arudi
kama
kuku.
Malaika akamgeuza
kuku,akamwambia
ajifunze kutaga kabla hajapelekwa
duniani.
Akachuchumaa na kuanza
kujikamua;yai la
kwanza likatoka.akajik amua tena,yai
la pili
likatoka.Akajik amua tena mara ya
tatu.
Wakati yai la tatu linatoka...akas
htukia amepigwa konde ikifuatwa na
sauti ya
hasira ya mkewe,"Pumbavu! Balaa
gani
hii....unakunya kitandani!!"