Mpwa hamnakitu hapo wanaishi maisha fake tu million 15 kwasiku labda ya kuchoraAjabu sasa pamoja na matambo yote haya akija kupata tatizo kubwa la kiafya utasikia anaanza kutembeza bakuli...
Maisha huwa hayana fundi ati!
ππππ aaaiii nimecheka!Hawa ndo wanafanya wanawake waonekane plagi hazichomi
Naunga mkono hojaliKichwani kukijaa sifuri kinachoumia ni sehemu za siri.
Na hayo mawigi kichwani huyo hata elfu kumi ya mtu anayejitambua hali huyu ni wale wa buku tatu tatu hana thamani ya 50K
Na wigi lake kama Mabawa ya MendeHawajui wanaume wa tz huyu dada labda waje wageni wamuokote π
Umeongea uhalisia ajabu hajui kupika anasubiri mahari ya Sh Ml 500Jeans aliyovaa elf 20.. ukiongea vizuri na muuza duka ni elf 18. Maana sio chambu hiyo, inaonekana ni mjeans wa dukani.
Kubond short wigi ni elf 30_45
Blouse ya shiffon ikizidi sana elf 25.
Kipochi hiko Karume elf 7.
Earnings elf 10β¦ kkoo elf 5.
Asiwaletee heka heka kaka zetu..
NakaziaHiki ni kituko
π€£π€£Mende tenaNa wigi lake kama Mabawa ya Mende
Mwenyewe nimewaza hadi nikashindwa kuwaza 15m alafu bado kapanga au ndio kuwaungisha wenye nyumba.Nakazia
Anahongwa zaidi ya 15m kwa siku ila anaishi nyumba ya kupanga... DP Wedi wachukue tu bandari
πππNa wigi lake kama Mabawa ya Mende
Kwannππππ aaaiii nimecheka!
Apelekwe Milembe huyo, kabla hali haijawa mbaya zaidiMwenyewe nimewaza hadi nikashindwa kuwaza 15m alafu bado kapanga au ndio kuwaungisha wenye nyumba.
Nakazia πApelekwe Milembe huyo, kabla hali haijawa mbaya zaidi