Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,307
- 26,818
the same to men, ndio maana ukienda uswahilini kuna washichana wazuri , tena wa kimanga rangi ya mtume wamezalishwa hawana ndoa, lakini wenye hela unawaona ni wakurugenzi wa mabenki na wameolewa.Sisi tunapenda hela hatupend tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenz nawe kabisa.tunapenda hela sasa
Wanawake washajimilikisha kuwa wao wanatakiwa wapewe kila kitu na wanaume.Wanaume na sisi tunapenda sana pesa zetu sikuhizi.
Tunakuombea dua njemaSisi tunapenda hela hatupend tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenz nawe kabisa.tunapenda hela sasa
😁😁😁We lini umekuwa wanawake wote?
Usipendelee kuwasemea wenzako.
Bora useme, wanawake malaya hatupendi wanaume wasio na hela tutakuelewa, siyo kuwajumuisha wanawake wote.
Mawazo ya mwaka wa mbeleWanawake washajimilikisha kuwa wao wanatakiwa wapewe kila kitu na wanaume.
Wanakosea.
Mwanamke anatakiwa apewe kila kitu na mwanaume wake.
Na Kama sio Mwanaume wako. Balance shobo. Na pambana na hali yako.
Binafsi sioni shida kuhudumia Mwanamke wangu na watoto. Ni jukumu langu.
Lakini eti kisa ww mwanamke na tumekutana tu uanze, we Kaka naomba ninunulie hiki au hiki. Mm Sinunui. Wacha unione bahili. 😊😊😊
kwanza ndio itanisaidia haswaa.
Kweli eeh? Kwa hiyo naweza kusema Moisemusajiografii ana hela kumbe mtoa mada anamuona kapuku tuKauli ya mwanaume asiye na hela inabaki kuwa hisia tu, si hoja.
Huyo sina hakika nae, labda ajibu mwenyeweKweli eeh? Kwa hiyo naweza kusema Moisemusajiografii ana hela kumbe mtoa mada anamuona kapuku tu
Hata yeye amemaanisha mwanaume wakeWanawake washajimilikisha kuwa wao wanatakiwa wapewe kila kitu na wanaume.
Wanakosea.
Mwanamke anatakiwa apewe kila kitu na mwanaume wake.
Na Kama sio Mwanaume wako. Balance shobo. Na pambana na hali yako.
Binafsi sioni shida kuhudumia Mwanamke wangu na watoto. Ni jukumu langu.
Lakini eti kisa ww mwanamke na tumekutana tu uanze, we Kaka naomba ninunulie hiki au hiki. Mm Sinunui. Wacha unione bahili. 😊😊😊
kwanza ndio itanisaidia haswaa.
Yeye amemaanisha mpenzi,Hata yeye amemaanisha mwanaume wake
Mwenzenu huko kabaka samaki eti ina harufu kama k, usiwasemee woteWanaume hatupendi mwanamke ananeuka kisamaki
Mpenzi wake ndio amuite kaka?Yeye amemaanisha mpenzi,
Huyo ulie m quote kamaanisha mke wa ndoa
Mbona tunaitwa sana tu,Mpenzi wake ndio amuite kaka?
Sidhan .Hata yeye amemaanisha mwanaume wake
DuhMbona tunaitwa sana tu,
Mke tu ndio hawezi ita hivyo.
naomba hela😊Umemaliza MKUU