Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana

Daby bata analiwa kama kawaida,huyu kumchunguza ni muhimu maana ametoka kwenye mikono ya mganga wa kienyeji hofu yangu isijekua lile tego alilowekewa bado linafanya kazi.
Huyu bata sijui kama utaweza kumla kama umeanza kuchunguza anavyokunya.
 
Daby bata analiwa kama kawaida,huyu kumchunguza ni muhimu maana ametoka kwenye mikono ya mganga wa kienyeji hofu yangu isijekua lile tego alilowekewa bado linafanya kazi.
Basi acha tuanze kukesha kwenye social media...nikiskia habari...

Mwanamme na mwanamke wamegundiana kama mbwa najua ni nyie.
 
Hahahaaaa ila ikitokea hivyo ujue uzi wako ndio chanzo cha yote.
 
hahahahaa Lait mngekuwa mnajua kjwa wanaume wengi sana hawajui kutongoza usingewatetea hv! mimi naamini kbs ningekuwa mwanaume somo la kutongoza ningelifaulu... jaman kuna wanaume wanaudhi hapa duniani...

kila mara salamu... basi aishie kukusalimia pm..after 30min anakutxt thru ya namba anakuambia Mambo!.. hv jaman si umenisalimia pm alafu unakuja tena nisalimia kwa simu yangu jaman huo tuuiteje??alafu kutw kunipigia kwa namba 3 tofaut tofauti hiv unataka nn lakini ww?basi uwe na la maana huna kazi kuniambia manengelo vipi?huu ujumbe mhusika uupokee sipend mm unaniikwazaaa na uzuri ushajua unanikwaza maana kila mara huachi kujistukia😏😏😏😏😏😏!

tafuteni wanaume wanaojua kutongiza jaman mbn wapo wengi tu?wawafundishe...

nb:binafsi sipend mawasiliano na mwanaume mwenye laini 2..yaan sipendi
.bas bora uniambie unakurupuka tu unaanza kunitxt kwa minamba migeni..kunisunbua tu kutaka kujua ww nani huon nauumiza ubongo wangu?yan sipendi.. nahis hapo nna udhaifu!mayb
 
Hahahaaaa ila ikitokea hivyo ujue uzi wako ndio chanzo cha yote.
Mimi nimeanzisha mada ya malalamiko cha kushangaza aliyejibu mada ni mmoja tu...wengine wote mnatongozana.
 
hahahahaa Lait mngekuwa mnajua kjwa wanaume wengi sana hawajui kutongoza usingewatetea hv! mimi naamini kbs ningekuwa mwanaume somo la kutongoza ningelifaulu... jaman kuna wanaume wanaudhi hapa duniani...

kila mara salamu... basi aishie kukusalimia pm..after 30min anakutxt thru ya namba anakuambia Mambo!.. hv jaman si umenisalimia pm alafu unakuja tena nisalimia kwa simu yangu jaman huo tuuiteje??alafu kutw kunipigia kwa namba 3 tofaut tofauti hiv unataka nn lakini ww?basi uwe na la maana huna kazi kuniambia manengelo vipi?huu ujumbe mhusika uupokee sipend mm unaniikwazaaa na uzuri ushajua unanikwaza maana kila mara huachi kujistukia!

tafuteni wanaume wanaojua kutongiza jaman mbn wapo wengi tu?wawafundishe...
Fanya kunifundisha kutongoza... napoelekea sio kuzuri....

kisha nitafanya mazoezi kwako uone kazi ya mafunzo yako kama yamefanikiwa.
 
hahahahaa Lait mngekuwa mnajua kjwa wanaume wengi sana hawajui kutongoza usingewatetea hv! mimi naamini kbs ningekuwa mwanaume somo la kutongoza ningelifaulu... jaman kuna wanaume wanaudhi hapa duniani...

kila mara salamu... basi aishie kukusalimia pm..after 30min anakutxt thru ya namba anakuambia Mambo!.. hv jaman si umenisalimia pm alafu unakuja tena nisalimia kwa simu yangu jaman huo tuuiteje??alafu kutw kunipigia kwa namba 3 tofaut tofauti hiv unataka nn lakini ww?basi uwe na la maana huna kazi kuniambia manengelo vipi?huu ujumbe mhusika uupokee sipend mm unaniikwazaaa na uzuri ushajua unanikwaza maana kila mara huachi kujistukia😏😏😏😏😏😏!

tafuteni wanaume wanaojua kutongiza jaman mbn wapo wengi tu?wawafundishe...
hebu nipe namba yako nikutongoze mimi
 
Asalaaam,

Simaanishi kila unapotongoza lazima ukubaliwe, hapana! Ila nyie tunaowatongoza hata kama mnatuchukulia vikatuni, viboya na viwehu mjitahidi japo kuthamini muda wetu wa kukaa na kuwafikiria.

Unajua kutongozwa ni baraka? Hadi mtu kakaa chini kakufikiria weee mwisho kaona niende ujue yamemfika shingoni.

Niwashauri muwe mnaenda mbali ukimkataa mtu mwambie sababu ya kumkataa na mshauri cha kufanya. Sio unamkaushia asijue shida nini.

Kama tulishatongozana PM ukanikataa hapa ubaki kimya.
ahaa pitia uzi wangu mkuu
 
Back
Top Bottom