Huu mchezo hauhitaji hasira kaka, najua nimekuchokonoa penyewe ndo maana mate yanakutoka kiasi hicho, hembu kaa chini kisha vuta pumzi ndeeefu, kisha kunywa maji nusu glass ndo tuendelee.[/QUOT
umenichokonoa wapi sasa mbona waongea pumba mara mate yananitoka nimekua zezeta embu jielewe