Wanawake chukueni huu ushauri wa Tanasha..

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,462
"Asubuhi kabla ya jogoo kuwika uniamshe na kimoko" .....nami NAKAZIA hapo hapo,kwa afya ya akili na mwili hii kitu ya asubuhi ni muhimu sana utafiti unaonyesha 99% ya wanaopata cha asubuhi wanaamka na furaha yani wanakua fresh na akili inafanya kazi mara 100 ya mtu asiyepata asubuhi.

Na hawana hatari ya kupata stress,msongo wa mawazo wala shinikizo la damu,na mtoto ambaye hupatikana kutokana na cha asubuhi anakua bright sana......laiti kama wanawake wote wangekua kama Tanasha basi dunia ingekua sehemu salama mno....msitubanie tukiomba cha asubuhi asubuhi ni muhimu kwa afya zetu.
 
Kwani mkiwaomba hiko cha asubuhi huwa mnajibiwaje?i mean huwa wanakataa kwa namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…