Wanawake bwana hahahaha

Wanawake bwana hahahaha

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,637
ukwel ndoa siyo ngumu na ndo maana mabinti wa saiv wanazitamani fulsa hizo jamani bt ndo inafikia wanaharibu za wenzie haaa... nimecheka mpaka saiv nafikilia inakuwaje mwanamke ajaolewa hata posa Haja tolewa anajimilikisha mwanaume utakuta anaita kabisa mumewangu......labda niwaambia kitu mabinti wenzangu unapokuwa katika mahusiano pale siyo mda wakumuangalia boy wako kwa jicho la mapenzi ni muda wakumuangalia kama anafaa kuwa mume ???.... am telling you usikubali kuishi na mwanaume bila kukuoa unaweza ukaishi nae kwamapenzi kabisaa bt utashangaa badae kabadili maamuzi
sili yakumzungusha mwanaume kuishi nae mpaka ndoa wazazi wetu wa naelewa na ndomaana huwa wanatusisitizia bt Vijana ni tumekuwa wabishi tuu wazazi wa naona mbali sana wanajua man's hawachelewi kuchenge motion mbele ya safari

usiishi na mwanaume pasipo ndoa hataweza kukupa heshima ya mke
Maana wanaume ukikubali kuishi naye huchukulia kama..
Umekuja kutafuta unafuu wa maisha hata kama hana kipato kilee ila ndio akili yao huwaza kua umekuja kujikinga na maisha
Huona kama huja malezi ya wazazi maana wazazi wamekugawa bure
Huona kama upo pale kama unatafuta mali ya kuwahudumia wazazi wako na wewe kujikimu hivyo ndio maana wazazi wako hawajalipinga jambo hilo
Huchukulia kama wewe ni cheap sana yaani huna gharama sana
Na ladha ya mapenzi hupaswi kua cheap ili uonekane wa maana lazima mwanaume akusumbukie sana hapo atakuheshimu ila kama unaishi na mwanaume bila ndoa mwanaume wako atakapompata mtu mwingine kwa kumhangaikia atakuachaacha na atabadilika utashangaa utajibiwa kwa nyodo mpaka utashangaa
Am telling you usiishi na mwanaume kabla ya ndoa my younger sister
 
Back
Top Bottom