Mi nakaangiza tuu mkuu ana data na msos wangu laah [emoji23] [emoji23]Mkuu Baba S labda na Mimi nianze huo mchakato wa kujipikia,manake amri zangu naona zinawakwaza watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hapa mkuu nimekunywa chai vizuri kama hakuna tatizo,na hatuna kinyongo Ila ndio yaliyotokea mkuu TZLEO!Wanawake wanachangamoto sana...ukipata mwanamke ambaye sio muelewa waswahili husemwa wa Nongwa ni shida hataki kuelekezwa..
Mpe kitimoto tena huo ndio ubavu wako...
Ukiwapa wanadamu wakushauri utampoteza mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya moto sio moto Bali ni maji.Nilichokiangalia ni gharama IPI kubwa ,kati ya kususa ili tuanzishe vurugu au kula ili amani itawala asubuhi hii ili niendelee na shughuli zangu kwa amani,mkuu Lwasu.Ndizi zimeletwa mezani zinanuka Moshi mm nasusa kula!!!!
Unakosea unaposema "Amri Zangu"....Mkuu Baba S labda na Mimi nianze huo mchakato wa kujipikia,manake amri zangu naona zinawakwaza watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mtu anakuletea ndizi zinazonuka Moshi kesho akikuletea ugali usioiva je utaendeleza amani ndani ya nyumba??Dawa ya moto sio moto Bali ni maji.Nilichokiangalia ni gharama IPI kubwa ,kati ya kususa ili tuanzishe vurugu au kula ili amani itawala asubuhi hii ili niendelee na shughuli zangu kwa amani,mkuu Lwasu.
Yes mama Sabrina, gas imeisha toka juzi,kwa hiyo nilimwambia apikie jiko la umeme km vitu vyepesi na jiko la mkaa au maranda kama kuna vitu vigumu vya kuiva.Jiko la maranda lina moto mkali kama wa gas na gharama yake ni rahisi sana.Gunia zima la maranda,kiwandani nanunua 1000 tu,na linatumika mwezi mzima,na halina Moshi kama jiko la kuni.Yeye hizo ndizi na chai angetumia umeme wala kusingekuwa na shida,manake haizidi dakika 10 kutayarisha!Kwani gesi imeisha jamani,maana kupikia jiko la umeme gharama kweli na mkiishi pamoja mnahitaji kuwa na bajeti nzuri sio kukomoana,mueleze ukweli aelewe maana kama anakukomoa au gesi hakuna na mkaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana una bajeti kali sana unamuambia kila saa sasa nadhani hapendi,jaribu kuwa unaongea mara moja tu na usifatilie sana mambo ya jikoni unamkwaza ,we uliweka jiko la umeme la nini humo ndani [emoji23][emoji23],unaonekana mpanga bajeti sana na mkeo mbishiii [emoji23]Yes mama Sabrina, gas imeisha toka juzi,kwa hiyo nilimwambia apikie jiko la umeme km vitu vyepesi na jiko la mkaa au maranda kama kuna vitu vigumu vya kuiva.Jiko la maranda lina moto mkali kama wa gas na gharama yake ni rahisi sana.Gunia zima la maranda,kiwandani nanunua 1000 tu,na linatumika mwezi mzima,na halina Moshi kama jiko la kuni.Yeye hizo ndizi na chai angetumia umeme wala kusingekuwa na shida,manake haizidi dakika 10 kutayarisha!
Mimi mindset yangu,nilishavuka kwenye kukwazika kwenye mambo madogo km chakula.Ningekuta kapinga amri yangu kubandika chakula kigumu kwenye umeme hapo tungekorofisha.Hizo ndizi nilizokula na chai sio issue.Soon nitaelekea mnadani kwenye nyamachoma๐๐๐Sasa mtu anakuletea ndizi zinazonuka Moshi kesho akikuletea ugali usioiva je utaendeleza amani ndani ya nyumba??