Mwambie Sina.unakuta mwanamke wako anakuita gafla mara baby, love, hubby, sweetheart, my everything, honey majina ambayo hapo nyuma ulikua unayasikia kwa mbinde sana.
Pole sana nduguMkiendelea na kusheherekea
Niwaambie hawa dada zangu waache kutuita majina ya mahaba msimu huu wa siku kuu maana hayatoki moyoni kabisa , sisi kama wanaume tunajua wazi kabisa mnatuigizia na mnataka hela tuu na sisi tumefocuss kwenye kubana matumizi, unakuta mwanamke wako anakuita gafla mara baby, love, hubby, sweetheart, my everything, honey majina ambayo hapo nyuma ulikua unayasikia kwa mbinde sana.
Mwingine huku umetongoza , umemsomesha miezi kadhaa haeleweki eti leo ndio anakupa jibu amekukubalia..
Tunajua mbinu zenu hakuna mahaba hapo hizo ni njia tuu za kututoa hela kimasihara na kutaka tuwapeleke viwanja vikali..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nifundisheee na mie dyadyaa, maana niko hollah hapaaa. Hata sielewiiiiiii.Hehe Tena umenikumbusha ngoja nimtext mai wangu na jina la "my all".
Mapenzi sio Pesa mkuu. Tafuta manzi ambae unamzidi kila kitu halafu utuletee mrejesho.Kama umeamua kubana matumizi achana na mapenzi for a while mpaka uchumi utakapokuwa sawa...
MAPENZ NI PESA MKUU...
nan atakupenda kama huna pesa..?Mapenzi sio pesa.. ukiwekeza pesa kwenye mapenzi utakufa masikini
Nimzidi kila kitu na PESA zikiwemo.. sivyo?Mapenzi sio Pesa mkuu. Tafuta manzi ambae unamzidi kila kitu halafu utuletee mrejesho.
Mwanamke kama anakupenda hawezi kukuomba hela maana anaogopa kukupoteza. Wacha kudate malaya
Anyways, usiache kutafuta hela. ukizipata ndo utaamini nachokiandika apa.
Build yourself as a man. Mwanaume unakubali vp kuzidiwa pesa na mwanamke? it's ok maana hata vidole havilingani ila huoni ni aibu na inatakiwa iwe motivation ya wewe kutafuta hela kama chizi.!!! Kuwa busy kutafuta hela unless ushajipata.Nimzidi kila kitu na PESA zikiwemo.. sivyo?
Mwambie huyo jamaa.. anafikiria mapenzi ni pesa shauri yakeBuild yourself as a man. Mwanaume unakubali vp kuzidiwa pesa na mwanamke? it's ok maana hata vidole havilingani ila huoni ni aibu na inatakiwa iwe motivation ya wewe kutafuta hela kama chizi.!!! Kuwa busy kutafuta hela unless ushajipata.
Make sure una hela to the extent ambayo ata mpenzi wako akikuomba unamnyima na anajua unazo ila hamna kitu anaweza fanya.
Ikitokea umempa basi ni just for love sio eti yeye kashinikiza mara akupigie simu kila muda na text kibao kukukumbushia na vitisho vya kukuacha, Mwanaume haachwi bali ananuniwa. Good thing ni kwamba ukiwa na hela huwezi ona hiana kumhudumia mpenzi wako tena ni fahari sana kwa mwanaume kama kweli unampenda.
Kama bado ni kijana una pambana kama mimi usitafute hela for the sake of love, utakufa masikini af huyo ulokua unampambania hatokuja ata kwenye mazishi yako[emoji28][emoji28]
Kama huna hela kabisa na hupendi kuombwa hela make sure you good in bed, utazichapa mpaka zikukinai.
Over.
Ukifilisika sababu ya mapenz wee Ni fallerMapenzi sio pesa.. ukiwekeza pesa kwenye mapenzi utakufa masikini
Umenikosha,kanywe Pepsi kwa mangi naja kulipaaMapenzi sio Pesa mkuu. Tafuta manzi ambae unamzidi kila kitu halafu utuletee mrejesho.
Mwanamke kama anakupenda hawezi kukuomba hela maana anaogopa kukupoteza. Wacha kudate malaya
Anyways, usiache kutafuta hela. ukizipata ndo utaamini nachokiandika apa.
Hivi Hawa wanawake huwa mnawatoa mwanamke anakutex t chibaba na we unamjibuMara akutext "chibaba wangu" sijakaa vizuri text nyingine " my kamanda"
Wadada tunaijua hiyoo 🤣🤣🤣