Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,096
Kuna wanaume wanatetea upuuz , yatawakuta tuUnasema ivyo sisi kuna kipind fulani tulikuwa tumekaa maskani mida kama ya saa 3 usiku ivi akapita jamaa na demu wake bahati nzuri jamaa alitusalimia huku demu wake akiwa kanuna wanaelekea njia ina giza yaani kuna uchochoro hamna taa washkaji baadhi wanajua kasema yule na demu wake hwako sawa
Mtoa mada ndio muhusika. Kwahiyo anajua anachofanyaUna uhakika gani kama alimsingizia?
Ndio maana sitaki kuoa ni kujiongezea matatizo tu.
Huyu Ni yeye.Una uhakika gani hakuomba huo mchezo?
Na hiyo katika dini ni ruksa kudai talakaUnajuaje alisingiziwa ?
Kulia kwake hakuthibitishi kuwa mwanamke alidanganya, pengine alifanya hivyo ili kujisafisha tuYule mwanamke ni muongo mkuu , jamaa alilia sana hawez fanya matendo hayo machafu
Hapo sawaMtoa mada ndio muhusika. Kwahiyo anajua anachofanya