😀😀😀😀Kisamvu cha kopo ndo nini..?
Sasa wee ulitaka mke asiseme ukweliKama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya.
Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya.
Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa hawaelewani..familiar zote mbili zikakaa chini
Nifafanulieni...😀😀😀😀
Tundu la jirani la maji machafu.Kisamvu cha kopo ndo nini..?
Unamaanisha mti wa kisamvu ulikuwa karibu na chemuchemu ya maji machafu..??
Sijakuelewa, kwahiyo ulitaka aliwe kisamvu au atake kuliwa akae kimyaKama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya.
Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya.
Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa hawaelewani..familiar zote mbili zikakaa chini
Ndiomana sitaki kuoa ni kujiongezea matatizo tu
Nasubiri jibu, au yeye ni mhusikaUna uhakika gani kama alimsingizia?
Vijana wakisasa wanaita kwa mpalange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kisamvu cha kopo ndo nini..?