Wanawake acheni malingo katika maisha

Hizi nyuzi za wanawake zimezidi kua nyingi aisee

Na siachi kuringa
 
Mi naogopa bana, hlf nimemiss kubebishwa..long time sijaambiwa maneno ya kusisimua

Ukishavunja ungo ushakuwa mkubwa na ukiwa mkubwa you have to face your fears
 
Wazee wetu hawakukosea kumfanya mwanamke mama wa nyumbani
 
Ponda mali kufa kwaja...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…