Wanawake acheni kutulazimisha

Ukiona mwanamke anajilengesha kwa mwanaume inawezekana anaukimwi mwanamke mwenye maadili lazima awe na nidham ya uoga mm huwa nawafukuza mpaka wananiita mafia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
cordial and civil is equal to friendship .....

Friendship is a state of being friends.

Being cordial and civil means not being mean to each other or not being hostile to one another.

There is a clear difference there.
 
Wengine hufikia kujiona victim of the circumstance.... Pamoja na hayo kila mtu ana chaguo lake.
 
Una roho mbaya yani kajipanga kukutongoza unaleta mapozi

miss chagga kweli nyani haoni kundule......wewe hapa kuna mtu mpaka ana ID ya jina lako.....na sijui mmefikia wapi na huyo mtu......afu unamwona huyu ana roho mbaya......
 
Last edited by a moderator:
Si ungemuuliza analipa pesa ngapi muelewane? Vitu vingine ni vya kujitakia tu
 
Ukiona mwanamke anajilengesha kwa mwanaume inawezekana anaukimwi mwanamke mwenye maadili lazima awe na nidham ya uoga mm huwa nawafukuza mpaka wananiita mafia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

sidhani kama mtazamo wako ni sahihi. Tatizo ni kwamba mila na desturi zinawanyima wanawake ujasili wa kutongoza hata kama amependa
 
Aibu ya mwanamke ni kubwa kuliko ya mwanaume. Ndiyo maana mwanaume akikataliwa hukausha kama ulivyosema ila kwa mwanamke haiishi hapo, ukimkataa lazima uipate.
 
miss chagga kweli nyani haoni kundule......wewe hapa kuna mtu mpaka ana ID ya jina lako.....na sijui mmefikia wapi na huyo mtu......afu unamwona huyu ana roho mbaya......

mkuu kama umefatilia ule uzi kuna mahali alijibu nimekwelewa.....i think watakua washaanza maongezi huko pm
 
Last edited by a moderator:
Hakuna urafiki wa x wapenzi..mwisho wa mapenzi ni chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…