Wanawake acheni kutulazimisha

Bojan

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
259
Reaction score
423
Habari wana Jamii Forums.

Hivi kwanini baadhi ya mabinti wanaojidai eti wana ujasiri wa kuwa aproach wanaume wanaona wamevutiwa wanashindwa kuwa waelewa.

Unakuta mtu kakufuata kaanza kistaarabu tu lakini ukisha mwambia hapana utasikia mara mwanaume gani wewe mara wakiitwa wanaume na wewe utaenda na maneno mengine kibao ya uzalilishaji.

Sasa kama uliona mi si mwanaume ulikuja kunifuata ili iweje,mbona sasa tukiwatongoza mkikataa tuna kausha ila nyie mnanini mpaka mkitutaka tusiwakatae.Kila mtu anachaguo lake Hakuna kulazimishana nisipo ridhika na wewe lazima ntachepuka tu.
 
Being salty and getting butthurt are to be expected after a rejection.
 
pole mkaka,si upotezee tu...yaani hayo maneno ndio yanakukondesha?:embarrassed1:
 
au nimtafute nimshambulie...
 
Hihihiii, mwinda anapowindwa na kutoka nduki, take it easy bob!!! Alijua huwezi kataa papuchi.😀😀😀
 
But why would anyone want to be friends with someone who's dumped them?

And why would the dumper expect the dumpee to be his or her friend after the dump?

Hili swali hili jama
 
But why would anyone want to be friends with someone who's dumped them?

And why would the dumper expect the dumpee to be his or her friend after the dump?

Lol.dumper nd dumpee.duh!Hahhaha.hataree.short n clear
 
But why would anyone want to be friends with someone who's dumped them?

And why would the dumper expect the dumpee to be his or her friend after the dump?

Sometimes kuna benefits za friendships without a relationships...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…