Wanawake acheni kubaka wanaume allah!

Ni kweli hawa ni wabakaji kabisa.halafu siki hizi pamoja na kutubaka baadhi yao hawana nguvu za kike, utakuta umejiandaa kwa shoo unapiga kamoja basi hataki tena.
 
Kama mimi kuna week moja sijui mai waifu alikuwa na kisirani gani....Kapiga chini monday to monday yani!
Nikashikwa na hasira nikasema yani iko siku tu atashikwa na hamu ntamkomesha... Hadi leo hiyo siku haijafika wala sina uhakika kama itafika.
 
kabisa kabisa kubakwa live live mmepunguziwa majukumu mshindwe kutafuta hela sasa

Hivi na wewe utanikimbiza kwenye mikahawa alafu utanipiga ngwara kisha univue kaputura au suruale alafu nianze kulia uwongo eti tokaaa ukooooo nitakung'ataaa liooneeee unaniumiza eeetiiii!!!
 
Hivi na wewe utanikimbiza kwenye mikahawa alafu utanipiga ngwara kisha univue kaputura au suruale alafu nianze kulia uwongo eti tokaaa ukooooo nitakung'ataaa liooneeee unaniumiza eeetiiii!!!

ha ha ha ha wala sikukuimbizi nakuita uje uchukue ndizi mbivu hapo ujue na ya kwako inaliwa
 
ndio maana nguvu za kiume zinapungua, tangu asbh imedisa hadi usiku....
 
Hii kweli kabisa mkuu, kuna jamaa mmoja Kenya alishtakiwa kwa kubaka msichana, kabla judge kutaja hukumu jamaa akamuomba judge "My Lord samahani kabla hujamaliza nakuomba tafadhali umwambie huyu msichana avae zile nguo alizokuwanazo siku ile niliyo mbaka"Judge akaamuru zikaletwe yule msicha kuzivaa....Looo!!! Kijiskirt juu ya magoti,kibaya zaidi siku akibakwa alikuwa ameinama kuokota simu yake ilikuwa imeanguka ,Jamaa akaachiliwa huru. Case Dismise.
 
Back
Top Bottom