Mwanaume si Mwanaume Halisi
Mwanaume hadi awe Mwanaume
Kuvaa suruali na shati sio kigezo peke
Mwanaume ni moyo na akili kuntu
Mwanaume halisi hapendi kupita
Hubakiza hisia na akili ya kuchakata
Kuchakata masaibu ya uhusiano bora
Huamua kwa akili na si moyo aslani
Mwanaume si Mwanaume Halisi
Mwanaume hadi awe Mwanaume
Kuvaa suruali na shati sio kigezo peke
Mwanaume ni moyo na akili kuntu
Mwanaume halisi hapendi kupita
Hubakiza hisia na akili ya kuchakata
Kuchakata masaibu ya uhusiano bora
Huamua kwa akili na si moyo aslani