interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Kuna tofauti kubwa sana kati ya upendo na tamaa ndiyomaana huwa tunakuwa hivyo.Wanaume bhna sjui kwann tuko ivi yani kiukweli wanaume wengi hupenda wake zao wavae vizuri yaani isiwe nusu uchi but akikutana na alievaa nusu uchi humtamani balaa
Unajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
vizuri tu inategemea tunaenda wapi<na lazima tuwe kwenye usafiri wetu binafsi na enyoe mwanamke wangu awee akiwa na mimi ajiachie achie sio kunivalima shumizi,shidiria, kishida na msketi huoUnajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
Nakubaliana nawe kabisaaa, ukiona waweza dhania ni swali rahisi lakini kijasho lazima kikutoke wakati wa kujibuNaliona hili ni swali gumu Ses. π π
Basi poleni sana. π π πNakubaliana nawe kabisaaa, ukiona waweza dhania ni swali rahisi lakini kijasho lazima kikutoke wakati wa kujibu
Wenyewe mnapeenda kutuona tunavopatashida kujibu eehπππBasi poleni sana. π π π
Hebu tuwe serious kidogo Ses hivi hata na wewe umekosa jibu? πWenyewe mnapeenda kutuona tunavopatashida kujibu eehπππ
Jibu litakuwepo Shadeeya lakini litatoka kwa kujiumauma na kawasiwasi flani hiviπππHebu tuwe serious kidogo Ses hivi hata na wewe umekosa jibu? π
Hahaaaa. Haya basi ishia hapo hapo tuJibu litakuwepo Shadeeya lakini litatoka kwa kujiumauma na kawasiwasi flani hiviπππ
Siendelei zaidi ya hapoπππHahaaaa. Haya basi ishia hapo hapo tu
Ewaaaaa.Siendelei zaidi ya hapoπππ
You're totally brainwashed !!!! Una ushahidi gani kwamba walivaa hivyo? Na usiniletee wa kwenye vitabu vya kizungu!!!!!!!Wazee wetu walijisikia je kutembea na bibi zetu wakiwa wazi vifuani na matakoni..huku wamefunika uch.i wao kwa gome la mti,???