uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Kwahiyo unataka wakike?Sitaki kuwa na mwanaume tena kwa maumivu niliyo nayo nimechoka kabisa.
Maumivu ya penzi omba yasikukute sito penda tena bora nitulie tu maisha yasonge basi.
Wanaume mnao jua kupenda mpo kweli
Kazi unayo ukiona hivyo hulipi huenda kazi zako tabia zako, wanaume tunataka mtu mpole asiyehangaika sio leo Upo huku kule huna mwelekeo umetumika kama tambara la deki la gesti za tandale mtogole, tunatathimini wa ujana wako mlishindwana nini sasa umezeeka uje uvutwe na vijana na wao hawakutaki kila utakaye mtumia picha hakutaki, tafuta pesa halafu nunua midoli ujisugue
Hahahahahaa... Hizi akili za ile ya toka mwaka 1977Pole sana
Weka order yako mapema mzigo unaingia nxt week
Pole sana mkuuPole mammie hawa viumbe basi tuu View attachment 908596
I doubt your thinking capacity and sanity of your mind!Pole hyo hali huuma sana ndo umeshajifunza next time usimpende mwanaume, the more unampenda ndo chance yakuumia ni kubwa sana. Mi nilishaapa nampenda babangu na kaka zangu basi the rest ya wanaume ni zaidi ya ma dog aisee