Wanaume wote mikono juu

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Mke Alikagua Simu ya Mume wake Akakuta Majina haya.
Super Woman
My Love
Woman of My Dream
My Princess
Sweetheart

Machozi yalimtoka akajua hayupo pekeake. Akaamua kupiga namba ya kwanza Akapokea Mama wa Mume wake. Akapiga namba yapili Akapokea dada wa Mume wake. Akapga namba ya tatu Simu yake yeye ikaita. Akapga ya Nne Akapokea binti yao. Akapga namba ya Tano Akapokea Mama yake yeye.

Akajilaumu kwa kumuhisi vibaya Mume wake na akaamua kumpa Milion Moja Kama zawadi
Kesho yake Mume akaztumia zile Ela Kumnunulia Zawad Mchepuko Wake Ambae Alimsevu Kama Fundi Viatu.

Wanaume Mungu anatuona
 
Mikono juu tunawekaje kwenye comment? Kikoloni maana yake hands-up, ndiyo maana tunaogopa kidogo
 
Mke Alikagua Simu ya Mume wake Akakuta Majina haya.
Super Woman
My Love
Woman of My Dream
My Princess
Sweetheart

Machozi yalimtoka akajua hayupo pekeake. Akaamua kupiga namba ya kwanza Akapokea Mama wa Mume wake. Akapiga namba yapili Akapokea dada wa Mume wake. Akapga namba ya tatu Simu yake yeye ikaita. Akapga ya Nne Akapokea binti yao. Akapga namba ya Tano Akapokea Mama yake yeye.

Akajilaumu kwa kumuhisi vibaya Mume wake na akaamua kumpa Milion Moja Kama zawadi
Kesho yake Mume akaztumia zile Ela Kumnunulia Zawad Mchepuko Wake Ambae Alimsevu Kama Fundi Viatu.

Wanaume Mungu anatuona
Mikono juu kwa huu Utumbo wako????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom