Wanaume wote mbinguni...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Just imagine life without GIRLS the
result ===
:Markets silent
:Streets empty
:The police at rest
:All mobile companies in loss :No SMS
:No flowers
:No candles
:No perfumes
:No travelling
ALL THE MEN DIRECT TO HEAVEN !!
 
saa hizo wanawake mmewaweka wapi? Pluto?
 
Unataka mashoga waongezeke?...ndio kampeni yako hii sio
 
Mweeeee!ina maana sisi ndio tunawazuia kwenda mbingun?asa bila sisi nyie mngetoka wapi maana kuzaliana tunategemeana!
 
Mh! Kwa nini judgement

Dunia itabaki kua salama!
Utaniuliza Reproduction itakuaje ?
Ikishakua hivyo ndiyo kusema God ataleta alternative kwamba dunia itaendeje bila wao.
 
kwahiyo wanawake ndo chanzo cha dhambi kwa wanaume?
 
Mh! Kwa nini judgement

Dunia itabaki kua salama!
Utaniuliza Reproduction itakuaje ?
Ikishakua hivyo ndiyo kusema God ataleta alternative kwamba dunia itaendeje bila wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…