Wanaume wenzangu wa MIKOANI

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Habar zenu wana jf
kume kua na haka katabia binafsi hua nakachkia kweli kwa wanaume tuixhio mikoani (kama wanavyo tuita wanaume wa Dar) pale mnapo toka mikoan na kwenda Dar pindi mnapo rud tena mikoan unakuta tumeiga kila kitu chao hasa hili swala la kuwaiga kuongea yan utakuta ongea yake kabla na baada ni tofaut kabsa yan mpk kero akikuongelesha cjui mnapewa nini huko mbn mm cjawaiga ila ni kwa wachache
badiliken jamn mnatutia aibu
ushaur tu wa bure
 
wanaume wa DAR.ndo mpini kaka swags
 
Bila shaka wewe ni msukuma
 
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nikienda huko mikoani kula likizo yangu basi nikirudi dar hiyo ongea yangu huwa wenzangu wanani shangaa naongeaje,maana nilikuwa nikiongea kama waongeavyo watu wa huo mkoa niliyotoka.
 
Ndio wamisharudi bush, ikifika saa kuminambili wanasema fungeni milango wakati ezi zao milango wazi mpaka asubuhi... Kuiga iga...
 
Back
Top Bottom