Habari za majukumu wakubwa na wadogo...
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu...
Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo hiyo ya kuwatapeli wanaume wenzao kwa kivuli cha picha na video za wanawake.
Nina mfano mmoja, kuna mdada anatrend sana fb kila wakati na picha zake za kichokozi. Lakini cha ajabu ukimfata messenger anakutumia namba ya wasap, n aukimfata wasap anakutumia namba umtumie kiasi cha tshs 4000 ili akutumie picha umfaham vizuri kutu ambacho ukifanya hivo unaishia kupigwa.
Mimi nimejaribu kumfata nikashindwa maana nimegundua ni tapeli kindaki ndaki.... Jina fb anatumia tamlat tamlat ukimpigia sim hapokei lengo hataki kusikika sauti yake
Anavojidai anakaa Kimara Fuoni Zanzibar. Haya changamkieni fursa ili muje mulete ushuhuda kama nilivoleta mimi hapa.
View attachment 1953847View attachment 1953849View attachment 1953851View attachment 1953854View attachment 1953855View attachment 1953858View attachment 1953859View attachment 1953860