Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 May 30, 2014 Thread starter #21 Daud omar said: Mkuu wa Matema Beach umshukuru mungu wako, vp lkn unmjua mwalimu, Koga, au Kava?? Click to expand... hahahaaaa! Kava namjua vizr sana alikuwa ananifundisha chemistry. Lakin koga nilikuwa nimeshamaliza tayar. Vp ww umehitim mwaka gani mkuu
Daud omar said: Mkuu wa Matema Beach umshukuru mungu wako, vp lkn unmjua mwalimu, Koga, au Kava?? Click to expand... hahahaaaa! Kava namjua vizr sana alikuwa ananifundisha chemistry. Lakin koga nilikuwa nimeshamaliza tayar. Vp ww umehitim mwaka gani mkuu
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 May 30, 2014 Thread starter #22 Zamaulid said: mkuu kama ameacha mtoto mfanyie kitu kwa niaba!! Click to expand... mkuu kwa bahati mbaya hajaacha hata mtoto ameondoka kama alivyo na uzuri wake" wanyakyusa wanasema ikhibhumba kiitopile"
Zamaulid said: mkuu kama ameacha mtoto mfanyie kitu kwa niaba!! Click to expand... mkuu kwa bahati mbaya hajaacha hata mtoto ameondoka kama alivyo na uzuri wake" wanyakyusa wanasema ikhibhumba kiitopile"
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,763 May 30, 2014 #23 noted with thanks.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 30, 2014 #24 Inamaana ulikuwa hujui maana ya kutumia condom?
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,083 May 30, 2014 #25 Bulldog said: Inamaana ulikuwa hujui maana ya kutumia condom? Click to expand... Dada alimgomea.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 30, 2014 #26 kijani11 said: Dada alimgomea. Click to expand... Ukinigomea, we are done then
B Barasu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,146 Reaction score 335 May 30, 2014 #27 Makomana said: Nmeoneshwa picha zake ni alikuwa anatisha. Jamani wanaume sio kila mwanamke anayekukataa hakupendi, mwingine anakuokoa na hatari. Click to expand... Pole sana!
Makomana said: Nmeoneshwa picha zake ni alikuwa anatisha. Jamani wanaume sio kila mwanamke anayekukataa hakupendi, mwingine anakuokoa na hatari. Click to expand... Pole sana!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 May 30, 2014 #28 hiyo kweli kabisa
K kopozi Senior Member Joined May 30, 2014 Posts 136 Reaction score 22 May 30, 2014 #29 Pole sana kaka....pole kwa msiba pia
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 May 30, 2014 Thread starter #30 Bulldog said: Inamaana ulikuwa hujui maana ya kutumia condom? Click to expand... mkuu sikuwahi kumgonga alikuwa ananibania vingnevyo ningekuwa marehem
Bulldog said: Inamaana ulikuwa hujui maana ya kutumia condom? Click to expand... mkuu sikuwahi kumgonga alikuwa ananibania vingnevyo ningekuwa marehem
Awe2 JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 261 Reaction score 97 May 30, 2014 #31 Mh nmeelewa sana Asante
mandaka Member Joined Jan 13, 2011 Posts 62 Reaction score 8 May 30, 2014 #32 hadithi hii inatufundisha nini?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 May 31, 2014 #33 Makomana said: mkuu sikuwahi kumgonga alikuwa ananibania vingnevyo ningekuwa marehem Click to expand... Kwenye mipango yako ukumbuke condom mkuu
Makomana said: mkuu sikuwahi kumgonga alikuwa ananibania vingnevyo ningekuwa marehem Click to expand... Kwenye mipango yako ukumbuke condom mkuu