Wanaume wenzangu tutafute hela

Money can buy only material things and not everything.
Seriously? [emoji23] [emoji23]


Embu vitaje maana Kama ni health bila pesa huduma ya afya utapata mbovu Kama ni love ukiwa broke hamtaishi kwa amani ndo mwanzo wa cheating

Mda au [emoji23] maana ukiwa na pesa una simply mambo ktk nyanja zote elimu,, afya, Ajira,, usafiri,,, na huduma mbalimbali za kijamii hutumii mda Kama maskini

Ni kipi hicho fedha hakinunui [emoji23]

Usiniambie kifo hiyo ni irrelevant
Maana hata maskini anakufa
 
Uko sawa kabisa, na crying in a benz is better than kulia umekaa kwenye baiskeli ya avon
 
Utamnasa Kwa pesa zako atakaa nawe Kwa pesa zako utamfanya kila kitu Kwa pesa zako Ila Kama ukishindwa kumkojoza aisee atakusaliti pamoja na pesa zako kwaiyo tafuta pesa Ila usiache kuijali afya yako
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kazi kweli kweli.
Sema nini mkuu kuna wale wazaramo wanaoishi uswahilini huwa nikiwachunguza huwa wana furaha wakati wote hali ya kuwa hata hawajui kesho watakula nini,na wakipata hela wanalipia maspika na kuweka sherehe kila weekend.
Cha ajabu mimi nina uhakika wa kuingiza mpunga kila mwisho wa mwezi lakini sina furaha kama wale niko na huzuni muda mwingi japo sidaiwi kodi ya nyumba,sidaiwi ada.
Hiyo unaongeleaje?
 

Of course pesa inanunua material things kama ulivyoeleza hapo nguo, magari and trips za hapa na pale, automatically huyo Bibie amekuwa fooled with those things, if you go broke hawezi kuendelea kuwa na wewe maana hana upendo na wewe.
Upo upendo wa kweli ambao pesa wala material things hauwezi kununua, tulikuwa masikini pamoja, tukapata pamoja, tukifulia tunafulia pamoja, huo ndio upendo wa kweli.

Tukija kwenye Health napo mambo ni yale yale, hela yako itakupatia huduma bora of course lakini haikupi guarantee utavuka stage hiyo kwenda nyingine, nimeshuhudia mikasa mingi watu na pesa zao wamelala kitandani wasiweze kuokoa nafsi na miili yao, Ruge hakuwa na pesa? Mkapa je? Patel je?
Hujiulizi watu wa zamani wali survive vipi ingawaje kulikuwa hakuna Hospitals na madawa ya kila namna?

Pesa kwa upande si kila kitu.
By the way, nina utoto mwingi sana, I’m 15 years old nangoja shule zifunguliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…