donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Money can buy only material things and not everything.whoever said money can't buy everything was probably broke..
Wacha bhanapesa ni tamu sana. inanunua hadi uhai wa mtu
Wacha bhana
😘😘Hakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
Safiwe acha tuuu
Hamna picha?"whoever said money can't buy everything was probably broke..
Ukihave enough cheddah, hata ukicheat ukiapologise inakua simple. Ukiwa caught red handed, msupuu ukimtuliza hata na ka iPhone 12 max tayari msala umeisha.
Wanaosema pesa sio mapenzi nakataa, hata ukweni ukiwa na pesa hata umdunde mkeo akirudi home ataambiwa mama vumilia tu Rudi kwa mumeo.
Jokes aside, money is eer thing
mdau tupo pamojaHamna picha?
Amani inatoka wapi kama mchuzi bank hauna? Ni bora uwe na pesa alafu ukose amani ya moyo kuliko hauna pesa na amani ya moyo huna...utakufa mzeeHakuna utajiri mkubwa na wa maana hapa duniani kama kuimiliki amani ya moyo na nafsi. Mengine ziada tu
Sasa ni bora uje kurealize hayo ukiwa na pesa tayar.. imagine huna pesa alafu na unavyo vihitaj navyo hunaOnce ukipata pesa uta realize kuna vitu unahitaji zaidi ya pesa