ha haaa, yaani umenichekeshaaaaaaaaa....
haya endelea kunitafakari
ha haaa, ngumi unaziweza?FP uvumilivu unanishinda dada yangu, yaani nimekutafakari mpaka. Unapenda kula mishikaki weye? Nakuuliza kwani nataka kukupa ofa, dah kwa kweli uzalendo unanishinda sikujuwa hili kama litawezekana kwangu. FP, kwangu mimi mwanamke macho si tigo...ngoja nikuimbie kidogo labda utanihurumia:
"Bibiiiii, FP mamaaaaa, haloooo FP dadaaaaa, nakutafuta sikuoni mamaaaaa, katika darubini sikuoni yeyeeeee eheeeeee
Nyumbani gani ulikoooooo
Nijulishe, nipigie simu namba 0755XXXXXXX (namba mafichoni kuogopa nisiowapenda kunitafuta)
Haki ya Mungu, nakupenda FP, nachotaka njoo unishike mkono twende kwa wazee.....(Bima Lee, Imakulata a.k.a. FP)
ha haaa, ngumi unaziweza?
teja yupo humu anarandaranda, bora uendelee kunitafakari kimyakimya tu mwenzio nisije nikapata ban bure.....
mlongo wangu snowhite umeona kazi huku kwa dadako?
jiandae kunitetea kwa teja, sawa?
ha haaa, kumbe unaogopa eeeh!FP shiiiiiiiii, usimtaje kwa sauti kubwa atakuja kunitafuta ikawa sooo. Mimi ni lover wala si fighter na kupigania mwanamke hayo ni masuala ya watu wasiojuwa kupenda. Mwanamke apiganiwi ila anapumbazwa na maloveeeee, mimi nakuanzia na mishikaki ya nguvu then we take it from there kidogo kidogo, au vipi?
ha haaa, kumbe unaogopa eeeh!
weka mbali na watoto, lol!
pana chezeya bhange za kimahabat za kingoni!ha haaa, ngumi unaziweza?
teja yupo humu anarandaranda, bora uendelee kunitafakari kimyakimya tu mwenzio nisije nikapata ban bure.....
mlongo wangu snowhite umeona kazi huku kwa dadako?
jiandae kunitetea kwa teja, sawa?
pana chezeya bhange za kimahabat za kingoni!
watu mwemwelemwemele tu humu!
ahahhahahahahhahahhahah
cc mazombiiiiiie yoooooote ya mabinti wa kingoni wakiongozwa na platozoom
chini ya uangalizi wa Mr Rocky na akisaidiwa na zumbe mkuu na mwenzie Erickb52
watu peeeeeeeeplo!
kwa mbaaaali naona Mkereketwa huyu ana hamu na yeye!muache aje!