Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,975
hivi separation in tofauti gani na divorce? kihisia siyo kisheria.....
mi naona bora niwe divorced ili niendelee na mambo mengine, kuliko kujidanganya nipo ndani ya ndoa ambayo haipo
mnapeana space kila mtu apumuwe na kero za mwenzie,mkiona mmeshindwa kumissiana mnachukua divorce lakini kama mlikuwa mmechokana kihisia weeeeeeee mtakavyorukiana mkionana physically na mentally acha tu.
Mnapeana space kila mtu apumuwe maana kwamba kila mtu atoke na yule ampendaye ama sijakuelewa? Ngoja nikuulize swali Asnam, hivi kama kweli unampenda mumeo ama mshikaji wako anbaye mnakwaruzana kila kukicha, yaani kweli utaweza kumruhusu aende nje akapige miti kwa yeyote ampendaye bila wewe kuumia moyo kweli? Na wanawake mlivyokuwa na akili finyu, utakuja kukuta demu anayepigana miti na mshikaji wako anapita mtaani kwenu kwa makusudi na kanga za mafumbo kila kukicha ili akuumize moyo zaidi wakati before ilikuwa si kawaida yake kupita hapo.
kupeana space sio kutoka na mtu mwingine bali kila mtu anampa mwenzake time mfano kama mlikuwa mnalala chumba kimoja unahamia kingine hicho ndo nakimaanisha.
Bora uende naye bafuniMy dia kuna baadhi ya wanaume ni manyang'au aiseeh ukirudi toka bafuni unapokelewa na tabasamu fake dah
Ukiwaza hivi nyumba inakuwa ya motoumeona eeeh!
mbona watu wangeumbuka!
mtu upo naye physically kumbe mwenzio anamuwaza mwingine!
kila akitabasamu unatabasamu back,
unadhani mpo in loooovvveeeeee, kumbe mwenzio anakuchora tu
khaaa!mnaitana vidumu tena.Mtoto wa mwanamke mwenzio huyo.kosa sio lake, mumeo kamchokoza eti.bora tufunge ndoa ya kimila ili ijulikane muda wowote ataletwa mwenzangu lakini mambo ya kunipeleka madhabahuni halafu unaniletea vidumu unasema ni kitu cha kawaida sikupati kabisa,mke mmoja mume mmoja kufa na kuzikana,hayo mengine ni tamaa za kujiendekeza.
me too @FP!!!!!!!!!'Afu FP weweeeeee, we acha tu. That smile kills me:A S 39:
Maneno ya wazoefuKafanya kosa la kitoto sana.
Kwanza kwa sababu yeyote ile hupaswi kumpigia nyumba ndogo uwapo home hata kama uko mwenyewe (Note: ni lazima jamaa ndo alimpigia kwa sababu yeye ndo alijua mkwewe anaenda bafuni).
Pili, hata kama mke alisikia hayo maneno jamaa alipaswa kukana futi mia na kuwa serious ghafla (U-serious wa kiume) na sio kutupiana maneno na mke.
Kuomba msamaha kwangu sio option, sitawahi kukiri hata iweje.
usife kwanza, michango yako hapa jf ni muhimu sana'Afu FP weweeeeee, we acha tu. That smile kills me:A S 39:
usife kwanza, michango yako hapa jf ni muhimu sana
ha haaa, yaani umenichekeshaaaaaaaaa....Mbona itakuwa hasara kufa bila kukuona, si kama napinga kifo ila mhhhhhh, we acha tu. FP weweeee:A S 39:, we acha tu nikutafakari mpaka hapo nitakapokuona :A S cry: