Alikua na watoto wawili, bila shaka alizaa na mtu mmoja ndani ya ndoa.Lakini pia ukibeba mimba kabla ya ndoa jiandae kipsychologia kulea mtoto katika mazingira yeyote Yale wewe kama wewe bila kumtegemea mtu hiyo itakusaidia ata mwanaume akukimbie hutaathirika Sana mwanamke ndio mlezi ng'ombe halemewi na nundule kwanini mtoto akushinde
Ana chura?Dah mtoto mkali hivi kajiua?
Hawezi kukosaAna chura?
Basi Mungu amrehemu.hawezi kukosa
Akina dada/mama wana sehemu yao kubwa ya uhusika.. Wanalazimishia sana mimba siku hizi.Unapoamua kuzaa na mwanamke, basi inatakiwa uwe tayari kwa majukumu ya kumlea mtoto ambae Mungu amewa jaalia kumpata.
Acha kabisa bro.. Kero za mahusiano ni habari nyingine.. Unaweza pauka kuzidi nsyukaDah, Huyo jamaa ametukosea adabu kwa kweli. Anamuachaje Demu mkali kama huyu.
Ukiwa na mke mzuri ni budi kuvumilia tu kero zake huku unaendelea kufaidi mambo mengine