WANAUME.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
( _Mnipende TU Katika Hili)
Usishangae kumuona binti amechukua Maamuzi MAGUMU ya kuolewa na mwanaume ambaye karibu ni mara 2 ya umri wake.
Unaweza Ukamuona hana akili, au ukasema amefuata Pesa na sio mapenzi ya dhati, huu ni upande mmoja ambao wengi mnaweza mkafikiria. Lakini upo upande wa pili ambao nitaenda kuuzungumzia... [emoji116]
Hivi sasa kuna WAVULANA wengi lakini Wanaume ni Wachache, Ninaposema Wavulana namaanisha watu ambao wana jinsia /maumbile ya kiume lakini wana IMMATURE Mind (akili za kitoto /zisizo komaa).
Unakuta kijana anakaribia miaka 30 bado yupo nyumban, bado analelewa na Wazazi. moji7
Anashinda kupiga *SELFIE* na kupost picha Instagram, Anashinda na remote Kazi kubadilisha channel za TV. Ukimuuliza vipi anakuambia anasubiria AJIRA siku Kazi Ngumu.
Hivi ni kweli Kazi hakuna au unachagua Kazi[emoji780] Hivi Kulima sio Kazi? Kwanin usiende kijijini kwa bibi yako uchukue hata heka moja ulime Vitunguu kuliko kubaki ukijaza foleni mjini.
Kwanini usiuze hiyo smart phone yako yenye thamani zaidi ya laki moja na nusu, na hiyo Pesa huifanye [HASHTAG]#MTAJI[/HASHTAG] wa kufuga Kuku? Kuliko kushinda online ukicomment na kupost UJINGA.
Kwanini usiende hata kufanya vibarua viwandani na kurudi hata na elfu 5 kwa siku, kuliko kukaa nyumban kugombania vitafuno na wadogo zako?
Unajiona msomi wa chuo Kikuu huwezi kufanya vibarua, Weka degree yako Kabatini, wewe Ingia Mtaani. KAZI NI KAZI, VIBAYA mwanaune KUOMBA.
Kwanini usifanye hata volunteer's Work (Kazi za kujitolea)? Kazi humfuata aliye na Kazi na si asiye na Kazi. Waswahili wanasema mgaa-gaa na Upwa, HALI wali MKAVU na MTEMBEA bure si sawa na MKAA Bure.
Sasa kwa mwanamke anayejitambua anaanzaje kuwa na mwanaume bongo lala kama huyu? Labda awe AMELOGWA. Hivi hapo nani Atakuwa AMEOLEWA?
Mkiitwa _WANAUME SURUALI_ mnakasirika, Lakini mpaka hapo hilo jina ni HALALI YAKO kama haulitaki BADILIKA.
Hauna HAKI ya kuitwa MWANAUME kama HAUWEZI KUWAJIBIKA.
VIJANA ACHENI UJINGA MUDA HAURUDI NYUMA[\B]