Wanaume wenye watoto zaidi ya watatu mama tofauti na bado hamjaoa

Kinga haifai kabisa inakuwa Punyeto.
Sema wawe wakweli sio kubeba mimba hovyo wakati wanajua hakuna ndoa bali ni kupunguza shahawa mwilini.
Hakuna kitu km hicho km wataka punguza mnyweshwe vidonge kwa lazima!
 
As a woman you are not supposed to be careful? Nani anaejua hizi ni siku za hatari?
Mwanaume tayari una watoto wawili wa mama tofauti bado waenda kulitafuta balaa lingine
Miye anaweza kua sina mtoto ndo huyo wa kwanza!
Ila sasa wewe mwanaume ambae tayari unao!

Play safe!Mimi mkaka mwenye watoto wawili namuelewa wa3 hapana hayuko serious!
 
Back
Top Bottom