Njoo kwangu sina paparaUnakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu
Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula
Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili
Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida
Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi
Wanaume acheni papara kwenye mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
D.D.D.D,Matumizi hayahusianiWrite your reply...kwani nimekutongoza nikuweke pambo au niwe mpenzi mtazamaji ngojangoja yaumiza matumbo poa unataka ningoje basi usiniombee ela Kwanzaa
Dah! basi kuna watu wamefanikiwa sana maishani.....Vp kuliwa papuchi nako?
Ndio ni kufanikiwa si umemsoteaDah! basi kuna watu wamefanikiwa sana maishani.....Vp kuliwa papuchi nako?
Wengine huwa mnatoa wenyewe bila kuonbwa,ili kuonyesha ufahari fulani kuwa unajali,kwa nini tusipokee? Wengine hatuombi nyie wenyewe mnatoawanawake acheni papara kwenye hela, yaani mtu tumejua hata siku3 hazijaisha, eti unaanza vibomu hivi mnazani kipimo cha kugundua kama mtu anakupenda ni kuendekeza vibomu vyenu?
kwa hali hii mtaishia kupata wanunuaji tu, kama mngekuwa wavumilivu basi hata sisi wanaume tungekuwa wavumilivu kwenu.
Yaani siku mbili nmataka hela, tuzoeane kwanza, hela utazipata hadi utazikimbia kiukweli..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha pesa na mambo ya kipuuzi.wanawake acheni papara kwenye hela, yaani mtu tumejua hata siku3 hazijaisha, eti unaanza vibomu hivi mnazani kipimo cha kugundua kama mtu anakupenda ni kuendekeza vibomu vyenu?
kwa hali hii mtaishia kupata wanunuaji tu, kama mngekuwa wavumilivu basi hata sisi wanaume tungekuwa wavumilivu kwenu.
Yaani siku mbili nmataka hela, tuzoeane kwanza, hela utazipata hadi utazikimbia kiukweli..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani nyie mabinti pia tabia zenu ni mzinga mwanzo mwisho yaan neno moja unataka kuanza vibomu mapema, mara sina MB, mara sina sms, mara sina dk, hv kipind mnanunua hizo simu mlikuwa hamjui kama zinaitaji bundles!!? Tushawachika asee.Hao ni wavulana