mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,375
- 3,891
Wanawake wazuri malaya, wanawake wote wanatoa nje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja.
Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine.
Mnawakatisha wanaume wenzenu wasiwachukulie seriously wapenzi wao kwasababu yenu.
Nakupa siri moja mwanamke akikupenda hawezi hata kufikiria kukucheat na hawezi. Hakuna kitu kigumu kama kumvulia mwanaume nguo usiempendaa, hapa siongelei wale ambao wanavua chupi ili wapate hela.
Jamani Kama mwanamke akitulizwa akatulizika akampenda jamaa na jamaa akampenda pia hiyo ku cheat utasikia kwa wengine.
Tatizo linaanzia kwenu nyie mkishampata mwanamke na ukajua anakupenda unaanza vituko mpk mwanamke anakata tamaa anatafuta plan B.
Ukitaka mwanamke asikicheat kwanza akupende na wewe umpende halafu asiwahi kukuhisi wala kukufuma una mcheat nakuakikishia hutokaa usikie ama uone amekucheat.
Dada enu hapa tangu niwe na shemeji yenu mwaka wa 3 huu simjui mwanaume zaidii yake na sifikirii kumsaliti.
Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Mama mzungu hapa from nanjilinji.