Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Wanaume wa pwani hao
Huwa hawapendi taarabu ila wanapenda yanayotokea kwenye Taarabu Since % kubwa ya wanawake wanaokua kwenye hizi Taarabu sio vimbaumbau[emoji28].
Wanafata kubambia
Watu wanajazana kubambia wewe! Si kuskiza muziki.
Kubambia ni nusu sex.. ukisimamia mchakato vizuri unabeba mtoto unaendajipigia.Dah bas tena sasa ukibambia mtu unapata rah gani? Si kujitesa uko
Dah Taarabu bwana mimi napenda hasa za Isha mashauzi ila sasa shida mikoani taarab hawapig barHellow
Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki uhu
Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida
Na ata dogo janja juzi kapost kwenye wasp status akicheza taarabu la
Kubambia ni nusu sex.. ukisimamia mchakato vizuri unabeba mtoto unaendajipigia.
Mzee wangu ndo nyimbo zake anapenda[emoji4]
Taarabu na singeli ni miziki ya uswahilini sema watu Wana kama wivu fulani na chuki ila taarabu ni mziki kama mziki mwingine
Mm huwaga navaa ear phone naskikiza taarabu ila taarabu za zamani hizi sas hv sizielewi ila taarabu n mziki mzuri yule leila rashid ni fundi haswaaa
Mimi huwa nikiona mtu anahereni,amesuka nywele kwa namna yoyote ile au ameweka brech baasi huyo ni mwanamke,huyo kwenye video ni mke wa mtuHellow
Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu.
Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida.
Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp status akicheza taarabu
View attachment 2520103
Mkuu, sidhani kama mtu anaweza piga bao Kwa kubambia tu. Haijawahi nitokea. Labda ule ute ute ndo uchomoze.[emoji23][emoji23][emoji23] sikuchafuana boksa uko
Ahaha wajuba sio watMkuu, sidhani kama mtu anaweza piga bao Kwa kubambia tu. Haijawahi nitokea. Labda ule ute ute ndo uchomoze.
[emoji4]