khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 212
hivi nini maana ya thread hii?
Nimeikuta sehemu hiii.
Wengi wenu mna wake wazuri ila michepuko vikaragosi,ushauri nasaha bila vipimo: ukichepuka atleast chukua goma la maana hata wife akiliona akiri kumoyo "naam hubby kuna kitu anakosa toka kwangu" sio wife anaona mchepuko anaishia kushika kichwa kama kafiwa.
Si kila mwanaume mchepukaji huchepuka kwa sababu za kuzuzuka na uzuri wa sura au umbile la mchepuko wake.
Wengine huchepuka kwa sababu zingine kabisa tofauti na uzuri.
Cc: The Boss