haya maswali mengine duh!...
mkuu ni kwamba una govi na unajaribu kutafuta mbinu ya kulitumia au ni swali tu unaongeza umbea kichwani?
Ukiona manyoya ujue....Hivi Sinta sio memba hapa JF?? naona ndio angeweza jibu kifasaha zaidi.
Nimeshakutana na mwenye govi and it was okay, in fact he was very romantic. Siku go down of course lkn he was the first man to make me come; after been in relationship with my first guy for 4 yrs. Na sikuwahi kuuona huo unga!
So if l meet with a man hata leo, sintamshurutisha atahiriwe. Kwanza nafikiri ni nzuri kwao kwani the head inakuwa very sensitive coz haiko exposed sana. Siwezi semea mambo ya afya, lkn nafikiri ukiwa msafi na muaninifu you should be fine; otherwise Mungu asingewaumba na govi.
BTW wanyama wanatahiriwa???????
Hiyo kitu ni sawa na mwanamke asiyekeketwa.
Kutahiliwa ni utamaduni zaidi, kuna jamii mwanaume aliyetahiliwa hawezi kukubaliwa kirahisi na mwanamke.
Kwa mfano hapa Uholanzi mwanaume aliyetahiliwa kuoa mwanamke wa kiholanzi ni kama haiwezekani, kwani tamaduni nyingi za kiholanzi haziruhusu mwanaume kutahiliwa, asilimia zaidi ya 95 hawajatahiliwa na hawataki kabisa kabisa kutahiliwa, yaani ni rahisi kumfanyia Vasectomy mmasai kuliko kuwatahili wao!! Yaani kwao kutahili mwanaume hakuna tofauti na kuketa mwanamke