NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Shosti, hiyo baba ame fall na kuna wanaume wengine hawaelewi somo, na huyo boss inaelekea kuadii.
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.Ingia mzima mzima hapo, kama nakuona vile unahamia kwenye nyumba yako mpya kule Bunju !!!! Halafu na hilo gari vipi ?
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.
wallah laitani ungejua nikiasi gani nawapenda mwenyezi mungu ndio shahidi,na ataninusuru inshallah..Nakuona unavyochukua ukimwi na kuupeleka nyumbani. Wafikirie wanao, mbona bado ni wadogo! Hujui kusema sitaki?
Nauliza tu simu umeipokea iphone 6????
Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .Nauliza tu simu umeipokea iphone 6????
sikuichukua mkuu shida zangu nasema nazo....Asipokee tena??????????
Apana dada siwezi,nimekinai siwezi sina nyingi lakini Alhamdulillah simu sioni kama ni chamana kuliko Heshima yangu..Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.
Mkuu nimemwambia lugha zote mpaka nimemwambia nampenda sana mumewangu hakuna kitu hanipi na am happy kwelnye ndoa yangu,jibu kanambia hawezi kunipenda mumewangu kama anavyo nipenda yeye sasa unadhani mzima huyo mtu?Sasa mtu huwezi kusema "hapana" tena ya kumaanisha, unatarajia nini?
Habari za Mchana wana MMU leo kaniletea cm Iphone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee iwe ni mimi tuu Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie nakosa raha na huyu mbaba.........