Wandugu, tumrudie Mungu ili mambo yetu yakae sawa, mara Tsunami, mara flight 370.
I great you all
Dini hizi kubwa mbili kupitia vitabu vyake vile, zinasisitiza kujisitiri kwa mwanamke, na hasa wakristo ambao wamekua na tafsiri tofauti juu ya kitabu chao. Tena unakuta mdada anavaa nguo zimuachazo wazi sehemu kubwa ya mwili eti anaenda kuabudu, ukimwambia alivyovaa si sahihi atakwambia wakati uliopo ni tofauti na huo unaouzungumzia. Mwanamke ameambiwa ajisitiri, tena ameaswa kutovaa yampasayo mwanaume na vivo hivyo mwanaume, mwanaume ni utukufu wa Mungu na mwanamke ni utukufu wa mume wake, mwanamke asimuoneshe nywele mtu ila mumewe na akinyoa, na mwanaume ukifuga nywele zikawa ndefu ujifunike wakati wa kusali.
Wandugu, tumrudie Mungu ili mambo yetu yakae sawa, mara Tsunami, mara flight 370.
mkuu! wazungu ndo walituletea nguo za kuvaa na ndio hao hao waliutuletea kutembea naked so tupo kama tulivyokuwa miaka hiyo yani tumekosa Tanganyika tu kukamilisha uzamani wetu.
Kuna ushahidi gani wa kutosha unaothibitisha kuwa hayo majanga yanasababishwa na kumuacha mungu?
mkuu apo kwenye bold ndo umenikosha, so ukiziacha unawatega malaika nini? au majini wema?
kwahiyo mkuu unashauri tuachane na lipi hapo, dini au mavazi? maana vyote vimeletwa
mkuu nashauri tuyaache magugu na ngano yakue pamoja cku ya mwisho ngano inavunwa na magugu yatachomwa moto
hata ushahidi wa kwamba Mungu yupo siwezi kukuletea mkuu, ni imani tuu
Walileta imani tukaziamini,wakaleta mavazi ya namna mbalimbali nayo tukayapokea pia...hivi ni kitu gani kilitushawishi kuacha kufuati misingi ya imani za kale..uvaaji wa mababu zetu pia?
Ukinijibu hapo pia utakua umepata jibu la mabadiliko ya mavazi
BTW wanawake tunaonesha maungo yetu kupita kiasi.
Mbona kabla ya nguo kuja si tulikua uchi tu,mkuu tembea uone nenda lake eyasi kwa hadzabe au wamang'ati wanavyokaa uchi au na wao wanakutega?
Ni Maendeleo ya Wanawake
Kabla ya kuingia kwa hizi dini na hawa watu weupe kutuletea nguo, tulikua tunavaaje?
Maovu gani walikua wanapata kipindi hiko!!!!