Kweli mimi kwa mwanaume naangalia attitude yake na potential yake, mambo ya six pack, kuweka nywele dawa, kupiga make up hapana, japokuwa mwanaume anatakiwa awe smart, but attitude na potential yake ndio point kuu kwangu kwenye mahusiano ya muda mrefu
Yale ya hapa muda mfupi naangalia wale ma bad boys wanaoendana na trend za siku hizi a.k.a wanaume wa Dar