Usafili wa uma>>>> USAFIRI WA UMMAIla wanaume wengi wachafuuu.tunaopanda usafili wa uma tunakoma.
hapo sawa sasa kwa maana uliandika kwa kubananishaKama kawaida yako
usisahau na wanawake piaWanaume wanene jamani ni shida sema huwa tunavumiliaga tu pesa zenu lakini usafi kwenu ni 0
Mnavyopenda kula ni tofauti na usafi wenu wa mwili kuanzia mdomo hadi kwapa ni balaa
Ukija kwenye jasho la mwili ndio natamanigi kuzimia kabisa yaani mpo kama chura vile
Ila wanaume wengi wachafuuu.tunaopanda usafili wa uma tunakoma.
Harufu aijifichi.Huwa unawakagua?!
Sasa kwenye mfereji wa...huwa unafata nini huko?
Na huyo mwanaume anayekuruhusu ufike huko ana matatizo
hahahahahahahah haya maisha bhana looohSasa kwenye mfereji wa...huwa unafata nini huko?
Na huyo mwanaume anayekuruhusu ufike huko ana matatizo
Harufu aijifichi.