Wanaume wanaojitambua bado wapo

waalimu wamekuwa mno wengi... na bahati mbaya wale waalimu walioshindwa ndio kwenye mahusiano yao binafsi; wana wanafunzi wengi na watiifu zaidi. wanataka waliokuta nayo kwenye mahusiano yao (watu wawili) yawe ni universal kwa wote. Na bahati mbaya zaidi tuna followers and believers wengi kupindukia. Thinkers wapo wachache.

Kwa minajili hio ukishakuwa na waalimu walioshindwa na ukawa na wanafunzi wengi (wafuasi na waumini---wasiochanganua mambo wanayoyoshauriwa/kuambiwa) tegemea kuwa na mahusiano mengi sana ambayo ni dhaifu dhaifu na misingi yao pia ni dhoofu sana.

Mapenzi yanapofusha fikra, na kwa kujua ukajiruhusu kupofuka... poteeni tu kama lile dege na mvurugwe kama lile bunge la vijembe.
 
wengi wao huogopa jamii itawaonaje wakiachana so mtu anaendelea kukaa kwenye uhusiano asioufurahia
 

Huwa amueleweki mnataka nini. Mwanaume akiwa na pesa mnamg'ang'ania hata kama ni mzee mnaishiwa kunyanyaswa. Mwanaume akikupenda halafu hana kitu utasikia ooo mwanaume suruali. Hata wewe baada ya mwezi utakuja kulalama hapa umepata mwanaume suruali.

Wanawake hamsomeki.
 
Kumbe mwawataka waarabu? ee !
 
Kumbe mwawataka waarabu? ee !


tunataka watu ambao ni wanaume tena wanaojitambua kuwa ni wanaume...binafsi mwanaume ambae hajitambue na kujua nafasi yake huwa naona kama analazimisha kuwa nafasi ya mdada ni kama hakuridhika kuzaliwa mwanaume vile!!!sasa wewe unaringa...huo ni uanaume kweli jamann??

issue sio utaifa ni kujitambua..personality baba
 
hakuna kitu ulichoandika hapo, hua nasema siku zote, ukiona mwanamke analalamika hapati wanaume safi tatizo hua liko kwake, mwanamke ovyo lazima upate wanaume ovyo maana unajiweka na wewe kwenye mazingira ya watu ovyo.. mwanamke safi hajichanganyi na watu wa ovyo atapataje mwnaume wa ovyo... we ovyo unapata wanaume ovyo unalalamika si wazuri kitandani, hadi hapo unatuonyesha kua ulikutana na majamaa wengi ukawafunulia ukajua hawako vizuri on bed, unajuaje ka wako vzr au vby? unajua mzuri on bed anatakiwa afanyeje? how did u know? na kusema uliokutana nao inamaana ni wengi, na kujudge inamaanisha sample space yako ni kubwa, sasa ukiitwa mapepe utalaumu? maana umegawa sana, ndo maana nasema ni we ni wa ovyo, wanawake wanaojiheshimu hawagawi ovyo ovyo, yani umejua msela wa ovyo afu bado ukamfunulia kukagua kama anaweza game ukakuta napo ovyo.. we ovyo sana we mwanamke
 

naona lara 1 my future wife kawafunguwa wengi humu mnaanza kujitambuwa sasa na kujuwa ni nini mnachohitaji.

Kongosho sijakusoma vizuri bado, when was ur last time to have a sex?
 
Last edited by a moderator:
Mmh mwarabu?? Haya hongera mwaya uombe asijebadilika ,hivi viumbe hivi!! Basi tu!!
 


ndio nyie nyie tunaowasema..utawajua tu.....
 
Mwarabu?, nahisi kakuonjesha extreme za tigo ukaona dunia yote ndo hiyo.

Usitukane wakunga......
 
Sijasoma wala, anaongelea nini?

Uandishi ni jambo muhimu sana kwenye kufikisha ujumbe. Nimegundua kuna wengine walikuwa wanafeli si kwa sababu hawana point, ila mpangilio mbovu.

Nimeona tu miherufi mikubwa ikani-turn off kabisa.

Update: Nimesoma baada ya kuona umebadili mwandiko walau na aya umeweka, hivyo sasa unatuvutia wasomaji. Kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha unapiga makelele (ul'ihamka)engine hatupendi kuhamkilwa.

inaonekana ujumbe umekufikia vizuri na utajirekebisha.

Ujumbe umefuta makosa yote!
 
Ha ha ha, amerekebisha, kumbe kelele zangu zinasaidia.

Afu huyu Lara 1 kakufanyaje? Naona umefika bei kabisa.

naona lara 1 my future wife kawafunguwa wengi humu mnaanza kujitambuwa sasa na kujuwa ni nini mnachohitaji.

Kongosho sijakusoma vizuri bado, when was ur last time to have a sex?
 
Hahahahaaaaa...hongera kwa kupata Mwarabu wa Tanga, sisi Warabu wa Oman tutakutana na kujaribu kuiga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…