Wanaume wananitia wazimu

LAZIMA ujifunze kukaa na mtu ambaye amekulia katika mazingira tofauti na wewe. TATIZO ni kwamba watu kabla hawajaoana huwa na matarajio makubwa sana kutoka kwa wenza wao. Mambo yakiwa tofauti wanahisi dunia imewatenda. Haiwezekani mtu akafanya kila kitu kilicho katika ndoto yako, hivyo lazima pawe na uvumilivu.
 
Itakapofikia me na ke tukafahamu undani WA commitment katika mahusiano yetu ndo tutaanza kufurahia mapenzi, ama sivyo tutaendelea kuvunjana mioyo kila uchao...hakuna mwenye nafuu sio sisi wanaume wala wenzetu kila mmoja anaamini yeye aanze kupendwa/kujaliwa kwanza kabla na yeye kuonyesha hisia zake kitu ambacho sio sahihi, hukuwekewa bunduki kuwa na huyo mtu ni hiyari yako jiachie kama haiwezekani then hauko mahali sahihi ndo tunaanza haya ya complicated men/women..!
 
hahaha umestuka eh! bribe me then!! lol

Haswaaa, nimeshtuka tena sana! Why? Umetoa statement ya kujiamini sana and to me when a woman with this attitude comes arround? ... kweli kabisa najisikia ku m corrupt not to love her just corruption ... fine will bribe you ... you tell me what is your worth?:A S kiss:
 

Wish I had a guy like u aisee it wud be fun....ur gal iz luckyyyy
 
hivi nyie wanwake hamjioni,kweli kusafiri asafiri mwarabu akisafiri mzaramo kafuata ngoma!!!
 

HAhahahah solution, umeniuliza how do I handle a complicated YOU........... simple by giving you what you want. So don't ask how am I going to give you that, just know that you wont ever had a chance to lack what you need in relationship.
 
Last edited by a moderator:

Hivi ni ukweli hujui wanaume huwa tunataka nini kwenu au unazingua tu watu hapa?
 

So that is ur solution? BRIB ING
 
Last edited by a moderator:
HAhahahah solution, umeniuliza how do I handle a complicated YOU........... simple by giving you what you want. So don't ask how am I going to give you that, just know that you wont ever had a chance to lack what you need in relationship.

Kwanza wewe mbona umebadilisha signature ...!! It was about "...Love and Seed ..." I don't ask much ..simply return the previous signature ... then I will know that you know how to handle the complicated ME!!! Yes to start with just GIVE ME that little favor, the previous signature!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…