We need understanding,.mtupende kwa kichwa na mioyo at per wengi wanapenda kwa moyo zaid..akiamua kutumia kichwa inakuwa ni kiburi sio rational reasoning!!!
Hii mbona kawaida sana mana ni half to half to man and woman na hasa bongo mana ukisema ukweli huaminika mpaka udanganye ndo waamin ukisema ukweli hawakubali