Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

Wanaume hutumia pesa, hupoteza muda kubembeleza kwa njia ya simu. Ataishi maisha ambayo sio yake kwa kipindi hicho.
 
The Boss... hii power hebu tuichambue. Hatari sana kama mwanaume anatumia hii power kuwapata wanawake.
Haishangazi wanapoingia kwenye vitendo vya kihalifu - kupigana, kudhulumu na hata ujambazi kwa ajili hiyo.
Ufisadi nao je?

kabisa hii imezungumzwa sana
hata viongozi mafisadi 'imethibitika'
wengi wao wanakuwa pushed na wake zao wenye tamaa kuliko wao
nafikiri ulisoma wake za viongozi wa tunisia,misri na kwingine waliopinduliwa
walivyokuwa wanaiba dhahabu dakika za mwisho mwisho

so mwanaume akipata mwanamke asiependa mali na power
na hata yeye appetite ya ku seek power inapungua....

tabu ni kuwa sometimes kichocheo sio mke
ni nyumba ndogo ambazo huwa more 'expensive'
hasa kwa viongozi wetu wa tz na africa kwa ujumla
 
kwa wanaume its all about 'power'

power ndio kitu ambacho kila mwanaume anakitaka na anajua
'kinarahisisha' zoezi zima la kuwavutia wadada

wanasema 'power is sexy'

so power inaweza kuwa pesa, madaraka,umaarufu, kupendeza na kadhalika...
hata phisical fitness inachangia pia...
Boss wakati mwingine wale wanaume wanao-exercise power mara nyingi unakuta wana lowest levels of the social scale and disempowered, maoni yangu hayo lakini
 
I always drink beer, eat k'moto and mbuzi choma. Sometimes I go to gym for fitness. I do these things not for pleasing someone but for myself. I make women happy on bed, and actually they say thank you.
 
mhm! tunataka mali kwenu ???? kuna ulakini hapa
Sisi tunahitaji zaidi kumiliki mali ili mtupende, kwa hiyo ubabe katika kutafuta unatutoa jasho, lengo kuu ni kutaka kuwamiliki wanawake........ ingawa hata hivyo kwa wanawake umiliki wa mali sio lengo kuu............ kwa hiyo tunarudi pale pale kwamba kuwaza kwetu, ndoto zetu, na namna tunavyotafsiri mambo tunatofautiana sana na wanawake....................
 
I always drink beer, eat k'moto and mbuzi choma. Sometimes I go to gym for fitness. I do these things not for pleasing someone but for myself. I make women happy on bed, and actually they say thank you.

wao!!!!
 
Back
Top Bottom