watalamu wanasema ''anayependa kidogo ndio anacontrol mahusiano na anayependa sana ndio anateseka zaidi'' nadhani ishu hapa ni kuwa anyependa sana huwa anajitahidi kuonesha upendo wake kwa huyo mpenda kidogo, t
kadiri mmoja anavyojitahidi kuongeza upendo, mwenzake anaanza kubweteka na upendo wake unaanza kudorora/kupungua kwa kuchukulia huyu kwangu kafika anaanza pia kupuuzia baadhi ya vitu muhimu, na hii nadhani kutokea pasipo kuamua ''kwa wale wanauchumi watakumbuka ishu ya scarcity kuwa 'kadiri kitu kinavyoadimika ndivyo uhitaji wake unaongezeka na kinyume chake pia ni sahihi''
hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.
Ndio!!!!!!
nani ana mapenzi ya kweli? kati ya ke au me?
hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.
njoo ujaribu kwangu utapata majibu sahihihivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? Nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
Please mawazo yenu wana jf.
hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.
hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.
Waefeso 05:22 - 33 inasema hivi:-
22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.
23 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
24 Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
26 ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;
27 apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.
32 Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa.
33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.
Yote kheri..., ila muhimu ktk mapenzi ni mawasiliano positive kati ya wahusika.
"its not a lack of love; but lack of friendship that makes un happy couples.."
So watu walio ktk mahusiano mazuri co rahisi kusema mme au mke ana mapenz ya ziada..!
Muhimu urafiki wa dhati.
hivi ni kweli wanaume wana
mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala
linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana ....
please mawazo yenu wana JF.