Wanaume wakisukuma wanakula sana jaman

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Sidhani kama kuna kabila hapa bongo ambalo wanaume wake wanakula kama hawa jamaa.
 
Kula kitu gani??? Kula K? au kula chakula?!! Maana vitu vingi vinaliwa!!

Alafu kwani kula sana chakula ni tatizo? kama mtu anakigharamia mwenyewe??!
 
Mie mlo wangu1 nakula 750-800grams,but mie sio msukuma ingawa natoka kanda ya ziwa!!!
 
Mnawasifia wanamiili mikubwa, warefu , halafu wakati huo huo unataka ale kama model mwenye kg35 ! you are not serious unadhani huo urefu na upana unajengwa na nini kama si msosi wa ukwe'ee
 
Sioni tatizo hapo ili mradi awe anakula kwa mpangilo maalumu!
 
Wanafanya kazi ngumu,kulima masaa 12 sio mchezo,hata dudubaya nae ni msukuma,pamoja na shigongo.
 
Wanaume wa kanda ya pwani hawana nguvu, kutokana na tatizo. na upatikanaji wa chakula ni mchache sana.
 
Mnawasifia wanamiili mikubwa, warefu , halafu wakati huo huo unataka ale kama model mwenye kg35 ! you are not serious unadhani huo urefu na upana unajengwa na nini kama si msosi wa ukwe'ee

labda mleta mada anafikiri mwili unajengwa na simenti.
 
Wewe nawe...
Sasa dhumuni la uzi wako ni nini haswa...tukusaidie kumlisha mumeo au?
 
Waacheni wale mwili.haujengwi kwa matofali watu wakila meneno.wasipokula kelele wafanyaje??
 
Kula lazima,kuoga hiari! Tumepanda hewani,tuna miili jumba!! Tunapiga show za kila aina!!

Sasa unapokuja na kelele zako za kusema tunakula sana! Sijui tukusaidie nini!!!
Sisi hatuna mashamba ya minazi!!!
 
we ulitaka watapike,acha wale hata kilo 10 kwa siku!hakuna ubaya ikiwa wanakula sana na hawakeri watu.
 
Dah! Nikiimiss jf... Siku yangu inakuwa imeharibika!
 
Kwahiyo kula kwetu kumekukera mpaka umeamua kutuanzishia thread hee! Mwanaume lazima ule bhana acheni hizo kabisa Nalemagha.
 
Na hiyo ndo inatakiwa iwe hivo kwa wanaume wote la sivo vitunguu saumu vitawakoma kisa kutafuta nguvu za kiume, wanaume kuleni, kuleni, kuleni sana aiseee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…