SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
- Thread starter
-
- #21
153 cm barefootUna sm ngapi
Wwwwww achaaaa niliyopitia Mungu anajua tuKupata pisi Haina definition kua lazma uwe mrefu .
Rasimu ya warioba mwachie jakaya mziwandakila siku story hizo hizo pumba tupu madogo ivi tutaipata rasimu ya warioba kweli
Ww sio mrembo basi [emoji34][emoji34]Mimi nina urefu wa futi tano points 9 halafu huoni aibu kunitongoza? Hata ile kunikaribia tu, ni kujidhalilisha
Ngono ndo future ya maishaVijana wanawaza ngono kuliko fyucha ya maisha yao ya baadae.
Kazi ipo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mrembo wa International standards. Nyie si mmezoea warembo wenu wale wafupi kama MWAJUMA ndala ndefu?Ww sio mrembo basi [emoji34][emoji34]
Nakazia hiyo sentensi ya juu...Usitafute hela ili uwakomoe KE, tafuta hela uwe na financial freedom.
Pole na ufupi japo sio ugonjwa au ukilema, jiamini.
Asipoelewa basiNakazia hiyo sentensi ya juu...
Umeongea pointUsitafute hela ili uwakomoe KE, tafuta hela uwe na financial freedom.
Pole na ufupi japo sio ugonjwa au ukilema, jiamini.
Kheeeh kumbee bas makubwaa tenaaa, lolNgono ndo future ya maisha
Bila ngono utapata wap kizazi cha badaeKheeeh kumbee bas makubwaa tenaaa, lol
Sio kila ngono inatoa kizazi cha baadae,.think twiceBila ngono utapata wap kizazi cha badae
Mkuu kma ww ni mwanaume rjali na mwanamke ambae haujakatwa kisimbusi ngono ni hitaji muhimu kwa binadamu .Sio kila ngono inatoa kizazi cha baadae,.think twice
Inawezekana jinsi unavyowafata unawafanya wawe katika hali ya kujilinda kwaiyo anatafuta tu sababu ya kukukataa.Ashakum si matusi [emoji24] visa vyangu
1.)Wanangu leo nilikuwa natoka chuo
Jioni ya saa 11 nikapishana na demu pisi kweli nikamfuata kumwomba namba alichonijibu " sipendi viadunge we mdogo kama maharage ya mbeya" akanisonya [emoji24][emoji24][emoji24] nikaishia
2.) 2019 after 4 kwenye daladala kuna pisi nzuri ilijongea tulikuwa 2 tu naichombeza kidogo tu kuomba namba mara "we na ufupi wako utanipeleka wapi".
3.) 2020 karibu na kwetu kuna dada kafungua duka la mambo ya kike sasa kuna siku alitoka njee kununua ndizi kulikuwa na duka la vitu vya sokoni kwa pembeni alikuwa na ****** balaaaa nikasema ngoja nimchomboze kwanza naongea nae ananipandisha na kunishusha tu na kunijibu kimikatokato kuomba namba hola eti sina simu jina kumuuliza oooh naitwa Juma daaah asee [emoji24][emoji24][emoji24] iliniuma sana
Sasa nimeapa ninakuja kulipiza kisasi kwa hawa wanawake wote wanaonikataaa kisa ufupi wangu nyie ngojeeeni nipate [emoji383] mtaona cha moto nitakuwa kama mondi ndugu Carlos The Jackal nipo kwenye operesheni maalumu mkuuu nimetendwa sana kisa kimo changu na mfuko wangu ntaanza kufuata nyayo zako mda si mrefu mkuu
#siwasilishi#
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji34] moja ya pisi ntakayoanza nayo ni hiii hapa