Wanaume wabaya sana

Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Kwa Nini hukutoa taarifa? Mambo mengine mnayataka wenyewe unaenda kufanya suprize unakutana na suprize yenyewe! Anyway pole Kwa yaliyokukuta
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
YAANI HAKUNA kitu kibaya Kama USALITI.
Shukuru Mungu kwa Kila Jambo.
Kila Jambo Lina makusudi mbele za Mungu sio bure.
Mungu kakuonyesha,Tena mko WENGI tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…