kuna huyo mchagga mmoja niliwahi toka naye, ukimwambia bby luv u kwenye simu, saa hiyo hiyo utasikia hivi ilie m-pesa nilikutumia umpe mrosso imefika?? mwambie apakize mbao nazitaka leo leo! namwambia bby basi nijibu, utasikia bana ee ile nilikwambia siku nakutongoza inatosha! nakutumia pesa baadae, kwaheri! lol! yalinishinda na pesa zake nikamuachia khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! lol
Nikikukamataaaaaaaaaa!!!!!!
Na wewe unafanya nini huku? Kwani weye nawe wa Tanga?lako hilo kumbe wewe kazi kuhonga tuu eeh!
Na wewe unafanya nini huku? Kwani weye nawe wa Tanga?
Waja leo warudi leo? Khaa!ulikuwa hujui kama miye mbondei?
Mimi nafagilia huko kigoma ila awe amekaa kaa mjini mana niwashamba kweli hujua kuongea bila kujali wanaomzunguka wanaelewa au la, ila niwazuri wakiridhika wanafia kifuani hahahahha huku anaongea kiha
HorsePower nimegusa nilikopita ndugu yangu nisitende zambi ya uongo .nilianzia Tanga nikaishia kigoma hahahahnivea ume-mention tanga, na kigoma, vipi huko bukoba, mtwara na lindi? Hao nao vipi?
HorsePower nimegusa nilikopita ndugu yangu nisitende zambi ya uongo .nilianzia Tanga nikaishia kigoma hahahah
ina maana umevuka border eeeeeehaya bana .Hahhahaa mi sitaki kusema, inawezekana nilizunguka sana toka kijijini kwetu mpaka nchi jirani, Loh!
mtanga wangu alikuwa ndio mwenyewe
Jamaa zangu wa tanga wanapenda kufira tu hawataki mbele wao hufagilia nyuma tu na ukimpa hapo hakuachi
Kwakweli hata mimi nilishawahi kutoka na mtanga enzi zileee, kwakweli waz gud kwenye sekta hii hakika niliinjoi
We nyumba kubwa,me nshasema ninae wa kitanga, mambo yake c mchezo m2 unapga kelele had unajsahau
sawa unahusika kwenye mapenzi ya kweli but ukizidi unakuwa keroWivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli.
Wachagga??? Mmmh...yaan hawa watu wa huko nadhan wamrithi mambo ya mababu zao mpk keroo,niwatafutaji mwanzo mwisho awe wa mjini awe wa bush..hawapo creative ktk mapenz..kwanza hata hilo neno creativity ktk mapenz ni geni kwao..we taja PESA ooohhooooo fasta atakupa michakato km elfu tano ikiwemo kulala njaa ili mambo yaende..
nivea nashukuru sijatoka Kigoma!Mimi nafagilia huko kigoma ila awe amekaa kaa mjini mana niwashamba kweli hujua kuongea bila kujali wanaomzunguka wanaelewa au la, ila niwazuri wakiridhika wanafia kifuani hahahahha huku anaongea kiha