Wakuu salamu kwenu,
Leo tarehe 19/5/2015 katika pitapita zangu nimekutana na gazeti la mwananchi lenye hii taarifa "" Wanawake Rombo wakodi wanaume. Kutoka Kenya ili kufanya nao mapenzi kutokana na waume zao kuzidiwa na ulevi na kutowahudumia.""
Source: Mwananchi
wanawake wa kiRombo wana sura nzuri, hivyo siamini km wanaweza kukodisha madume ya mbegu kutoka Kenya kwani WaMarangu Kibosho ai Machame wameisha?au walevi woteSheeder........
Habari za leo,
Latest news, Mwanaume rijali Rombo ni dili.
Wanaume Wilaya ya Rombo wameathirika na ulevi wa pombe za kienyeji kama vile gongo, vimorali, raha leo, vimondo, vimbuli na vipombe vingine vyenye majina ya ajabu. Matokeo yake wanaume wamepoteza ule uwezo wa kuhudumia ndoa zao na hatimaye wamekuwa wakiwakimbia wake zao.
Tatizo hili ni kubwa sana kiasi kwamba hata mwanamke akienda kwa jirani kuomba msaada kwenye tuta anakuta nafuu ya mume wake. Si akina mama, si mabinti, wote wamebaki wapweke yani no huduma ya za wanaume.
Kwa hali hiyo wanawake wa Rombo wamwonapo mwanaume aliyetoka mjini ie DSM, Arusha, DDM, Moro n.k. wanamvizia kama mwanaume amviziavyo mtoto wa kike...
Na wanaume sasa, akikuona umeenda kusabahi Rombo hawana shida ya bia wala mbege! Siku hizi wanakuomba jero tu na ukimpa baada ya nusu saa anarudi yupo safi, amependeza yani kalewa!
Hali ya Rombo ni tete kigenaration kwani shule nyingi za msingi kwa darasa la kwanza zimebaki na madawati tupu. Kama pombe hizi hazitotokomezwa, basi kuna hatari miaka 3 hadi 5 ijayo shule hizi zikakosa wanafunzi kabisa.
Kujua hali ilivyo mbaya, angalia ITV, Jumanne saa tatu na nusu usiku kipindi cha Ripoti Maalum toka Romba, ni mwendelezo wa jinsi wanaume wa Rombo walivyoathirika na ulevi wa pombe za kienyeji.
Mpo wababa? Kuna haja ya kupigana kuokoa Rombo yetu.
Duuh.. Mwaka huu mtatutoa roho wachagga lol..
Ila mleta mada umeileta kishabiki sana kwa sababu title yako na habari yenyewe haiendani.. Title yako inasema wanaume wa kichagga hawajui mapenzi lakini habari yenyewe inasema wanaume wamezidiwa na ulevi na kushindwa kuwahudumia wanawake wao..
cc Asprin..
hahahahaaaa.... Ahsante kwa taarifa kiongozi. Tutajitahidi tuongeze maarifa...
Inawezekana tunahitajika sana....
hiyo ishu ya rombo iacheni ivo ivo ngoja nijipange niende hukohuko
Kaka zetu nasikia wanatuangusha... nna apply likizo, liwalo na liwe.mkuu vipi, mbona nasikia hali ni mbaya huko, rombo inaweza ikawa sehemu ya kenya mzee! Ongeza mke kama aka 47 yako bado imara! Inasikitisha lakini!
Arusha nako kwa akiasi fulani ulevi unapamba moto. Saa mbili asubuhi unakuta vijana wamekaa nje ya duka wanakunywa banana! Lord have mercy na nguvu kazi ya taifa letu maana ni muhimu kuanzia bedroom ,